Politics

Yanga hata wakichagua uwanja wao pale ‘KIDIMBWI’ kwa Simba hatoki – Shabiki (+Video)


Mwanachama wa Mabingwa watetezi Ligi Kuu Tanzania Bara na Azam Sports Federation Cup, Mwakitalima amewatumia salamu Yanga kwa kuwataka wachague Uwanja wowote ule kwaajili ya kuchezea Nusu Fainali ya FA dhidi ya Simba SC lakini watapasuka.

The post Yanga hata wakichagua uwanja wao pale ‘KIDIMBWI’ kwa Simba hatoki – Shabiki (+Video) appeared first on Bongo5.com.Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published.