Politics

Vunja bei: Wengi walihisi ntapata hasara kuuza jezi za Simba, sinufaiki na pesa tu (+ Video)


CEO wa TOO MUCH MONEY na MADUKA YA VUNJA BEI @feed_vunjabei ameeleza na kujibu kuhusu wanaodaiwa kupata hasara kuuza jezi za Simba.

Akiongea na @el_mando_tz ameeleza kuwa kwa sasa anatanua wigo kufanya kimataifa na timu kubwa na ameanza na vilabu vya Kenya.Source hyperlink

Leave a Reply

Your email address will not be published.