Politics

Vunja bei: Sio kila anayenipost niko naye kwenye mahusiano (+ Video


Mkurugenzi wa maduka ya @vunjabei @fred_vunjabei amshauri @harmonize_tz kuhusu anachokiongea juu ya @kajalafrida.
Mbali na hilo amesema kuwa anatarajia kuoa mwezi wa tisa huku akimtaja DC wa Temeke @jokatemwegelo kuwa anampa sapoti sana na mara nyingi humshauri.
@fred_vunjabei ameongeza kuwa yeye hana EX yoyote

The submit Vunja bei: Sio kila anayenipost niko naye kwenye mahusiano (+ Video appeared first on Bongo5.com.Source hyperlink

Leave a Reply

Your email address will not be published.