Politics

Simba na Azam hakuna mbabe 1-1


Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Simba SC wameambulia sare ya goli 1-1 dhidi ya Wanalambalamba Azam FC.

Mchezo huo uliyopigwa leo Mei 18, 2022 katika viwanja vya Azam Complex Chamazi wafungaji wakiwa Kola kwa upande wa Azam na Bocco kusawazisha.Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published.