Politics

Reytox: Nimeacha kazi kwa Mange Kimambi, sikuhusika na chochote (+ Video)


Baada ya kupata sehemu nyingine ya kufanya kazi @reytox_ binti wa @sakinalyoka_ ameeleza aliyopita baada ya kukamatwa na Polisi akisingiziwa ndio aliyepost video ya @professorjaytz kwenye mtandao wa Mange.

“Ile video sikupost mimi na nilikuwa sijui chochote nilikaa ndani wiki tatu, Mange alisaidia sana wakati akiwa Polisi.

Sasa @reytox_ ameanzisha kipindi chake katika kampuni iliyopo Kenya ikiwa chini ya @christinalewisofficalSource hyperlink

Leave a Reply

Your email address will not be published.