Politics

Nandy athibitisha kuacha kufanya kazi na aliyekuwa meneja wake Mocco, sipo naye tena (+ Video)


Mbali na hilo #Nandy amethibitisha ujio ya Festival yake. Akiongea na wana habari wakati anapata ubalozi mpya @officialnandy ameeleza kuwa harusi yao na @billnass tayari vikao vimeanza kwa maana hiyo ipo katika hatua za mwisho.

Kuhusu kuacha kufanya kazi na aliyekuwa meneja wake @mokobiashara amethibitisha kuwa ni kweli amemsimisha.Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published.