Mama Denis ambaye ni mke wa Florian Valerian Massawe ambaye ameshinda Bilioni 1.2 amesimulia namna mumewe alivyokuwa nyumbani wakati akisubiri matokeo ya timu moja tu ili kutangazwa mshindi wa mamilio hayo ya pesa.
The post Mke asimulia namna mumewe alivyoshinda Bilioni 1.2 SportPesa (+Video) appeared first on Bongo5.com.