Politics

Mbunge Deo Sanga – Imani yangu mbolea itashuka


Mbunge wa Makambako (CCM) Deo Sanga amesema bajeti ya serikali 2021/22 imejaa neema kwa Wananchi wake wa jimbo la Makambako.

Amesema miradi ya maji pamoja na ruzuku ya pembejeo itawasaidia wakulima wa Makambako.

The post Mbunge Deo Sanga – Imani yangu mbolea itashuka appeared first on Bongo5.com.Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published.