Timu ya Lake Group FC yazinduliwa rasmi jijini Dar es Salaam ikiwa chini ya mkongwe Boniface Pawasa amabaye anaongoza benchi la ufundi la mabosi hao wa mafuta.
The post Lake Group FC yawatangazia balaa Simba na Yanga, waja na mkongwe Boniface Pawasa (+Video) appeared first on Bongo5.com.