Politics

Fred Vunja bei: Ntaoa mwaka huu, DC Jokate ananishauri mambo mengi sana (+ Video)


Mkurugenzi wa maduka ya @vunjabei @fred_vunjabei amshauri @harmonize_tz kuhusu anachokiongea juu ya @kajalafrida.

Mbali na hilo amesema kuwa anatarajia kuoa mwezi wa tisa huku akimtaja DC wa Temeke @jokatemwegelo kuwa anampa sapoti sana na mara nyingi humshauri.

@fred_vunjabei ameongeza kuwa yeye hana EX yoyote.

Link hizi hapa chiniSource hyperlink

Leave a Reply

Your email address will not be published.