Politics

Fred Vunja Bei: DC Jokate ni rafiki yangu sana siwezi kum-block wala yeye hawezi kuni-block (+ Video)


Akipiga stori na @el_mando_tz @fred_vunjabei ameeleza kuwa sababu za @mwijaku kusema hivo kuwa walipisha kauli.
@mwijaku ana tabia ya kuomba hela kabla ya kazi hivyo alivyoniomba hela nikamwambia amalize kwanza kazi niliyomwambia afanya akakasirika akaenda kuongea hayo maneno”
Alichukua milioni 3 na sio laki moja kama alivyosema”

The post Fred Vunja Bei: DC Jokate ni rafiki yangu sana siwezi kum-block wala yeye hawezi kuni-block (+ Video) appeared first on Bongo5.com.Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published.