Politics

Fred: Simba ni timu kubwa Afrika Mashariki, imenifungulia milango kimataifa (+ Video)


Leo ikiwa ni mchezo kati ya @simbasctanzania na @azamfcofficial mzalishaji na mtengenezaji wa jezi za @simbasctanzania @fred_vunjabei ametoa ofa kwa mashabiki wa Simba nchi nzima.

@fred_vunjabei ameeleza kuwa endapo @simbasctanzania itashinda basi kila shabiki aende dukani kwake akachukue jezi kwa Tsh 10,000 tu. Mbali na hilo @fred_vunjabei ameeleza kuhusu ujio wa jezi mpya za Simba.Source link

Leave a Reply

Your email address will not be published.