Florian Valerian Massawe Ashinda Bilioni Moja JackPot ya Sportpesa

Florian Valerian Massawe akishikilia mfano wa hindi baada ya hafla ya kukabidhiwa rasmi na SportPesa

Mshindi wa Jackpot ya SportPesa Tzs.1,255,316,060 Florian Valerian Massawe akishikilia mfano wa hindi baada ya hafla ya kukabidhiwa rasmi na SportPesa.

 

JP winner 8 3- Mshindi wa Jackpot ya SportPesa Florian VAlerian Massawe akikabidhiwa rasmi mfano wa hundi ya Tsh. 1,255,316,060 na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi SportPesa Tarimba Abbas.

Florian Valerian Massawe akiwa ameshikilia mfano wa hundi

JP winner 8 4- Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi SportPesa Tarimba Abbas , Mkurugenzi Mtendai Bodi ya michezo ya kubahatisha James Mbalwe, Mkuu wa kitengo cha michezo ya kubahatisha Shabani Mwanga wakimkabidhi mshindi wa Sportpesa Jackpot ya Tsh. 125,316,060 Florian Valerian Massawe.Toa comment