Politics

Diamond, Rayvanny na Mbosso akaunti zao za Youtube zimerudi baada ya kudukuliwa


Baada ya kudukuliwa kwa masaa kadhaa akaunti za wasanii Diamond Platnumz ambaye ni CEO wa lebo ya WCB pamoja na wasanii wake wawili ambao ni Ryavnny na Mbosso akaunti zao za Youtube zimerudi.

The submit Diamond, Rayvanny na Mbosso akaunti zao za Youtube zimerudi baada ya kudukuliwa appeared first on Bongo5.com.Source hyperlink

Leave a Reply

Your email address will not be published.