Politics

BAKWATA: Sikukuu ya Eid Jumatatu May 02, 2022 au Jumanne May 03, 2022


Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewatangazia Waislamu na Watanzania wote kwa ujumla kuwa Sikukuu ya Eid El Fitr itakuwa siku ya Jumatatu May 02, 2022 au Jumanne May 03, 2022 kutegemea kuandama kwa Mwezi.

The submit BAKWATA: Sikukuu ya Eid Jumatatu May 02, 2022 au Jumanne May 03, 2022 appeared first on Bongo5.com.Source hyperlink

Leave a Reply

Your email address will not be published.